Usikate tamaa, NEVER GIVE UP IN LIFE

Never Give up- Nick Vujicic

Kutana na Pilot Jessica Cox

Kabla ya kuamua kukata tamaa na kusema siwezi kufanya jambo fulani, siwezi kufanikiwa, siwezi kutajirika nk, kwa sababu hii ama ile fikiri mara mbili kwanza, Mungu ametupa mamlaka chini ya jua, twaweza kufanya jambo lolote lile na kuwa vyovyote vile tutakavyo tukiamua. Kumbuka: Mauti na uzima huu katika uweza wa ulimi. Uwaonao juu walikuwa na kila sababu za kukaa na kuwa tegemezi pengine kuwa masikini wa kutupwa, lakini walikataa kukatishwa tamaa na hatimaye sasa wanafanya yale ambayo yalionekana hayawezekani kwao. 

    Je wapenda kupokea jumbe zaidi za kutia moyo? Jaza fomu hii na uitume.